Mamake Rose walipoteleana na mumewe Shem baada ya vurugu wakati wa uchaguzi wa mwaka Elfu mbili na Saba.
Ni msichana ambaye ni wembe shuleni, hukata mbele na nyuma.
Yeye si mbumbumbu Kama baadhi ya wanafunzi wengine wasiojua kuunga moja na moja wapate jibu ni mbili.
Sekeseke la chamko la korona limekuwa tishio, Liz hakuwa na budi kufunganya virago na kuondoka shule ya bweni ya wasichana Ya St. Mary's Kitale baada ya amri kutoka kwa rais mtukufu mheshimiwa Uhuru Kenyatta kuwa shule sote sifungwe.
Mamake Liz naye hakuwa na wakati mwafaka wa kukaa na mwanawe ili amfunze kuhusu mapenzi. Rose alikuwa na shughuli nyingi za kikazi.
Wakati mwingi Rose huondoka hata wiki moja bila kurudi nyumbani kwa ajili ya kutafuta mkate wa kila siku ati.
Hata wakati Rose anapokuwa nyumbani na kujaribu kumweleza mtoto wake mara nyingi mawaidha hayo anayoyatoa huambulia patupu.
"Usinisumbue mimi, Rose, fanya kazi yako na Mimi nifanye yangu." Utamsikia Liz akimjibu mamaye.
" Wewe Liz shida yako ni gani au unadhani Mimi sikusomea?"
" Ungekuwa umesoma kwa wakati huu ungekuwa rais wa Kenya, hungekuwa na safari za kila aina za kuuza mwili wako. kazi ya tax bubu si kazi ya kujivunia. " Liz humkereketa mamake maini.
Licha ya majirani kumshauri Rose amwadhibu mwanawe kabla maji kuzidi unga waliambulia patupu.
Rose alikataa katakata na kuwakemea watu ambao walikuwa na nia mbaya ya kutaka kuharibu uhusiano mwema baina yake na mwanawe. "Tangu lini watoto kucharazwa viboko katika karne hii ya ishirini na moja? Watoto wa siku hizi ni kuongea nao na kuwaelekeza." Rose aliwaambia.
*********************
Liz alikuwa sebuleni huku akiwa amelala kochini. Alikuwa akipekuwa simu yake aina ya Oppo 3AS. Aliangalia picha alizopigwa na mpenzi wake Dan ile siku alipokuja kwao. Akapendezwa na picha moja ambayo alivaa sidiria nyeupe pamoja na chupi.
Hakuchelea kutaka kupata sifa kutoka mtandao wa Facebook. Alipost ile picha na kungoja matokeo.
Alipopost ile picha aliandika, "UKITAKA KUOA MWANAFUNZI KANUNUE SARE."
Sekunde mbili hazikupita kabla ya Liz kuanza kumiminiwa sifa jinsi ile picha ilivyokuwa inapendeza.
"Nice ass, beautiful lady, Waooo angel from heaven, can I be your servant?" Maneno kama hayo yalimtia moyo Liz.
" Kumbe ninapendwa kiasi hiki? Hakuna siku hili jimama limewahi nisifu hata siku moja. Kazi yake ni kupiga kelele tu Kama kuku anayetaka kutaga mayai.
Wengine walimiminika kwa kumtumia jumbe za mahaba, " Hey, do you like threesome? I will love to have you one night stand if you wish. "
Alipoona jina threesome alikodoa macho mithili ya kinyonga.
"I have never tried that shiet, unless I try now. " Alimjibu kwa ujumbe.
" Inakuanga tamu mrembo, kwanza huo mwili wako ni poa, nitakupiga mabao Hadi ukoj*e. "
" Kweli? Panga siku basi maana nina hamu sana aki." Alimjibu.
" Sawa wacha nimemeshe simu kisha tutaongea mengi, byee my queen, mwaaa. " Liz aliagwa.
" Waooo! Nimeangukia tena, simtaki Dan maana yeye ni sumbukuku. Hajawahi nifikisha kileleni hata siku moja. Nitaka nipige hatua, threesome may be the best."
Alirukaruka kochini huku akiongeaongea.
*********
Baada ya Wiki moja Liz walikuwa wameahidiana na Nyamweya kukutana katika hoteli kubwa huku kisii 369.
Liz alivaa viatu vyeupe aina ya rubber, long'i nyeupe iliyokuwa imembana na kuonyesha makalio yake makubwa yaliyotingika kana kwamba ni mtetemeko wa ardhi.
Kisha akavaa blausi nyeupe isiyokuwa na mikono bali kuacha mgongo wazi na kushikilia na matiti isije ikaanguka.
Alichukua vipodozi na kujitia nakshi, kisha akajiangalia kwa kioo na kugusa nywele zake alizokuwa amezipaka dye ya manjano, akaridhika.
Liz hakuonekana mtoto tena, alibaki kuwa tishio la wanawake wenzake ambao walikereka mno.
Mgalla mwuue na haki umpe, Liz alikuwa ameumbwa akaumbika. Kusema kweli Mungu alitenga siku ya kumwuumba.
Ngozi yake ilikuwa ya rangi ya kunde, macho ya gololi, shingo la upanga lililokuwa juu kila wakati na macho ya vikombe.
Matiti yake bado yalikuwa na nguvu, yalisimama wima na kutishia kutoboa nguo kifuani, ishara tosha kuwa yalikuwa 'saa sita'
Alichukua gari kutoka kisumu, akalipa nauli ya shilingi mia saba.
Nauli ilikuwa imepanda mara dufu kutokana na sekeseke la chamko la korona.
Watu walitakiwa kupanda saba badala ya kumi na wanane.
Alichukua kitamvua yaani barakoa kwa wale wasiopenda kupekua lugha ya kiswahili na kuivaa asije akaambukizwa korona.
Alifika kisii mwendo wa saa kumi na moja kamili.
Akampigia Nyamweya simu, " Uko wapi? Nimefika stage beb?"
"Uko stage gani?" Nyamweya aliuliza kwa bashasha.
" Niko transline" Liz. alimjibu.
"Sawa mum, geuka upande wa kushoto kutoka hapo utaona Tuskeys Supermarket iliyo mkabala na St. Jude ukuje huku. "
" Sawa basi"
Liz alishangazwa na mazingira ya kisii yaliyokuwa yametengana Kama ardhi na mbingu na Yale ya Kisumu.
Kwanza kisii Kuna baridi, Pili mji huu Kuna watu wengi ambao wamejazana hata kufanya tone la mvua lisifike ardhini.
"Mambo Liz?" Sauti ya mwanaume ilimwita kabla hajaingia ndani ya supermarket.
Aligeuka na kuona aliyekuwa akimwita, mrefu, mweusi, si mnene si mwembamba, mwenye misuli ya aina yake. Akafurahi maana Kuna wakati mwingine mtandao unaweza kukuangusha.
TUTAENDELEA
Commenti